Hapa kijana akitafakari yatakayojiri kwenye ndoa, Ilikuwa muda mchache kabla ya kwenda kuoa. Akitolewa wasiwasi na kugwi wake. Mguu wa kheri kuelekea Masjid. Tukimkabidhisha Mke kijana kwa Imani ya Dini yake. Hapa tayari wameshaunganisha Familia. Mr Seif akiwa na Mkewe Bi.Amina Seif ana Pacha wake ambaye walioa siku moja anaitwa Ustadhi Abdallah. Hapa Ustadhi Dullah na Mke wake kipenzi baada ya ndoa. - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - MATUKIO MACHACHE YA SEND OFF. - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - Moja ya matukio ya Send off ya Bi Amina. Bwana Dullah(Pacha) wa Mr Seif alikuwa na furaha sana siku ya Send Off ya kaka yake,kulia mwenye tabasam ni Dr Lau kaka wa wadau. - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - SHEREHE FUPI ZA MAHARUSI SARUJI CLUB ILIKUWA MBILI KWA MOJA SEIF NA AMINA NA - ABDALLAH NA MWANAISHA. - - - - - - - - - - - - - - - - - ...
Apanga Kumuua Osama Bin Laden kwa Jambia Raia mmoja wa Marekani alijaribu kufanya kile ambacho serikali yake imeshindwa kukifanya kwa miaka kadhaa kwa kuamua kwenda peke yake nchini Afghanistan kumsaka na kumuua Osama bin Laden akiwa na bastola, panga na jambia. Mmarekani Gary Brooks Faulkner mwenye umri wa miaka 52 ametiwa mbaroni nchini Pakistan akiwa kwenye misheni yake ya kumsaka na kumuua kiongozi wa Al-Qaeda, Osama bin Laden. Faulkner alitiwa mbaroni jumapili jioni akiwa kwenye harakati za kuvuka mpaka wa Pakistan kuingia Afghanistan ili kukamilisha nia yake ya kumuua Osama ambaye inasemekana amejificha kwenye milima iliyopo kwenye mpaka wa Afghanistan na Pakistan. Alikamatwa akiwa na bastola moja, panga, jambia na vifaa vya kumwezesha kuona nyakati za usiku. Pia alikuwa na kitabu alichoandika mistari aliyoinukuu toka kwenye biblia. Faulkner ambaye amebatizwa jina la "American Ninja" na magazeti ya Marekani anasumbuliwa na matatizo ya figo na shinikizo la damu, alikuwa ...
Comments
Post a Comment