Wadau wa IFM ndani ya South Beach Kigamboni.

Wadau wakipiga dua ya amani kwa jamii.
Chamkwidi na Jamii.

Mauzo 100% kaka


Vijana waliuza sana na style hii


Fatma na lufa


wadau!!

Farida na Mama lio

Washikaji walikuwa walinzi wa amani

Huu ndio ulikuwa upande wa timu ya wanaume


Ilikuwa mechi kati ya wanaume na wanawake lakini Mdau aliamua kuwasaidia wanawake. Hongera kwa Upendo wako japo kuwa bado mlifungwa.

Kaka mteremko au Kitonga

Wadau wakijituma

Raphael na Rafiki



Yanga na Lufa

Ibra na Mdau




Mac lio J.


Lufa

Ankal
Mama Lio



Lily watoto na Mdau


Shemeji na Shemeji

Totoo na soda

Kwa taarifa za uhakika zilizopatikana kutoka ndani ya Jamii husika Game itarudiwa kipindi kifupi kijacho wadau wanasema lazima ipigwe nyumbani na ugenini, walikosa kuhudhuria dhifa hii Assalam alekum, Miteremko ilikuwa hakuna wengi walikuwa Kitonga kwa mujibu wa wadau.
Upepo ulitosha kwa asilimia 100
THE END.

Comments

Popular posts from this blog

Matukio ya Harusi ya Kijana wetu Mr Seif J.Bakari aliyemuoa Bi Amina Moses.

JAMAA ANAMSAKA OSAMA BIN LADEN