St. Nanihii hakuna adhabu kama hizi
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgQ992tGkj_D79zAgpIjqqT_Z5MDP7n51fEQWtTvHUB8v1g4GjKMV6GhplMj2DGBqI1YO_K_Uk1os2cwEJ0tx4Nbr5T_GA-CXf5nElSkS7SvV3bMfIlyFRwPA-yyQvOcpUas0OjktaI7SN5/s320/adhabu%5B1%5D.jpg)
Tuliosoma katika hizi shule zetu za mloganzila, miembe saba, mwanalugali tumekutana sana na adhabu hizi. Waliosoma St. Anton, St. Peter na St. nyingine hizi adhabu walizisikia kwenye bomba. Ila kuna mtu amezimis adhabu hizi.
daa anzabu hizi kazoea kutoa kialingo
ReplyDeleteSiyo mwalimu Chaki? manake hawa walipewa na mwalimu Chaki. Camera ikawanasa, enzi hizo Digital camera nilikuwa nayo mimi tu hata ikulu walikuwa hawana, Nilitumiwa na Dr Msangi kipindi hicho akiwa Dokta wa Saddam Hussein Iraq.
ReplyDelete