Wadau wa IFM ndani ya South Beach Kigamboni.
![Image](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiNiiJL9GAe-InG3aOf66MBP7H8iw8341HT7z1_J_ey7yetzMM15JM9zWB-AvbavTLp46RTUeQ9ukPRHbDNc-_Jw0oo32Ky5autKEpiRtRzaBeyyNx3nb2xQ2qwVqcGqvN7bQudn4CmdCJq/s320/NICO+192.jpg)
Wadau wakipiga dua ya amani kwa jamii. Chamkwidi na Jamii. Mauzo 100% kaka Vijana waliuza sana na style hii Fatma na lufa wadau!! Farida na Mama lio Washikaji walikuwa walinzi wa amani Huu ndio ulikuwa upande wa timu ya wanaume Ilikuwa mechi kati ya wanaume na wanawake lakini Mdau aliamua kuwasaidia wanawake. Hongera kwa Upendo wako japo kuwa bado mlifungwa. Kaka mteremko au Kitonga Wadau wakijituma Raphael na Rafiki Yanga na Lufa Ibra na Mdau Mac lio J. Lufa Ankal Mama Lio Lily watoto na Mdau Shemeji na Shemeji Totoo na soda Kwa taarifa za uhakika zilizopatikana kutoka ndani ya Jamii husika Game itarudiwa kipindi kifupi kijacho wadau wanasema lazima ipigwe nyumbani na ugenini, walikosa kuhudhuria dhifa hii Assalam alekum, Miteremko ilikuwa hakuna wengi walikuwa Kitonga kwa mujibu wa wadau. Upepo ulitosha kwa asilimia 100 THE END.