Posts

Showing posts from 2010

Matukio ya Harusi ya Kijana wetu Mr Seif J.Bakari aliyemuoa Bi Amina Moses.

Image
Hapa kijana akitafakari yatakayojiri kwenye ndoa, Ilikuwa muda mchache kabla ya kwenda kuoa. Akitolewa wasiwasi na kugwi wake. Mguu wa kheri kuelekea Masjid. Tukimkabidhisha Mke kijana kwa Imani ya Dini yake. Hapa tayari wameshaunganisha Familia. Mr Seif akiwa na Mkewe Bi.Amina Seif ana Pacha wake ambaye walioa siku moja anaitwa Ustadhi Abdallah. Hapa Ustadhi Dullah na Mke wake kipenzi baada ya ndoa. - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - MATUKIO MACHACHE YA SEND OFF. - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - Moja ya matukio ya Send off ya Bi Amina. Bwana Dullah(Pacha) wa Mr Seif alikuwa na furaha sana siku ya Send Off ya kaka yake,kulia mwenye tabasam ni Dr Lau kaka wa wadau. - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - SHEREHE FUPI ZA MAHARUSI SARUJI CLUB ILIKUWA MBILI KWA MOJA SEIF NA AMINA NA - ABDALLAH NA MWANAISHA. - - - - - - - - - - - - - - - - - ...

KAMPENI ZA JK JIMBONI KWANGU

Image
Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama tawala CCM Mh: Dk. Jakaya Kikwete akihutubia wananchi wa Handeni, katika moja ya Kampeni zake. Hapa JK akimtambulisha mgombea Ubunge wa jimbo la Handeni Dk. Abdallah Kigoda. Hapa JK akiongea na wananchi wa Wilaya mpya ya Kilindi. Akitoa salam kwa wananchi wa Kilindi waliohudhuria mkutano huo wa kampeni.

LIL KIM & JUMA NATURE

ABRAHAM NA DESTA WAAMUWA KUWA KITU KIMOJA.

Image
ABRAHAM NA DESTA WAAMUWA KUWA KITU KIMOJA. MAHARUSI BAADA YA KUWASILI UKUMBINI UKUMBI ULIKUWA UMEPENDEZA KWELIKWELI. CHAKULA KILIKUWA CHA KUTOSHA TUKIONGOZWA NA BWANA NA BIBI HARUSI. FIRST LADY MAMA SALMA KIKWETE AKIFUATIWA NA MAMA LOWASA PAMOJA NA MAMA SUMAYE WAKATI WA KUCHUKUA MSOSI. BWANA HARUSI WA KWANZA KUSHOTO, OTHMAN NA NICHOLAUS LYUBA, BWANA HARUSI, OTHMAN NA NICHOLAUS WADAU BAADA YA HARUSI WAKIONGOZWA NA MR JABIRI MBELE. MAANDALIZI PAMOJA NA MAZOEZI YOTE YA JIVING NJE YA NCHI LAKINI NASIKITIKA SANA KWAMBA SIKUFANIKIWA KWA KIWANGO NILICHOTAKA MIMI KATIKA KUCHEZA INANIBIDI NIRUDI SHULE YA DANCING. MASUE ALIKUJA KUNIPOKEA WAKATI NATOKA MAFICHONI KWENYE KOZI YA DANCING KWA AJILI YA MAANDALIZI YA HARUSI LAKINI NEH KUSHNEI NILIAMBULIA KUKANYAGA WATU TU, ILA NIMEAHIDI KUJIFUNZA ZAIDI, NIMEMFUKUZA KOCHA WANGU WA MWANZO NICHOLAUS SASA HIVI NINA KOCHA MPYA ANAITWA JABIRI.

FIESTA

Image
JUMAMOSI HII JAMANI NI HARUSI YA MDAU WETU IBRA SULTAN (IFM STAFF) NA PIA NI SHANGWE YA JIPANGUSE FIESTA 2010.

MTOKO WA W - END, SEND OFF ZA J.MOSI PWANI YA MASHARIKI.

Image
Mironge V na Masue R.

MAC LIO

Image
HII NDIO ZAWADI YA WADAU WA IFM (COMPUTER CENTRE) KWA MTOTO WAO MAC LIO. LIOTCH SEIF J. WALIKUWEPO WADAU WACHACHE WALIOTUWAKILISHA KUPELEKA ZAWADI NYUMBANI KWA BABA LIO. FATMA NA LILY WADAU WALIOTUWAKILISHA FATMA NA YANGA K.F.

MAGOTI CHAPA APATA BINTI.

Image
HONGERA SANA KAKA NA MPE HONGERA ZAKE SHEMEJI KWA KUTULETEA BINTI (FARIDA).

ZIARA NYUMBANI KWA BABU, KULEA MTOTO WETU.

Image
DIDAS, WIFE WAKE NA MAMA MKWE WAKIWA NA FRANCIS. DIDAS NA BESTMAN WAKE BABA FRANCIS, FRANCIS NA BABAAKE MDOGO MWENYE MAFANIKIO KUSHOTO FRANCIS NA BABAAKE MDOGO MWENYE MAFANIKIO DADA ZETU NA WIFI YAO KULIA AMRAN, JABIRI NA FRANCIS WAO IBRA, NIKO NA AMRAN. LUKOYA NA MR YANGA K.F. SIO STORY TU NA MSOSI ULIKUWEPO PIA WENYEJI WETU WALIJITAHIDI KUPIKA. JACKY NA VERO WAKIWA NA FRANCIS BABU TUNASHUKURU KWA MUALIKO WAKO NA TUNAFURAHI KWA KUWA DENI UMESHALILIPA WADAU WAMEFURAHI SANA.

JAMAA ANAMSAKA OSAMA BIN LADEN

Image
Apanga Kumuua Osama Bin Laden kwa Jambia Raia mmoja wa Marekani alijaribu kufanya kile ambacho serikali yake imeshindwa kukifanya kwa miaka kadhaa kwa kuamua kwenda peke yake nchini Afghanistan kumsaka na kumuua Osama bin Laden akiwa na bastola, panga na jambia. Mmarekani Gary Brooks Faulkner mwenye umri wa miaka 52 ametiwa mbaroni nchini Pakistan akiwa kwenye misheni yake ya kumsaka na kumuua kiongozi wa Al-Qaeda, Osama bin Laden. Faulkner alitiwa mbaroni jumapili jioni akiwa kwenye harakati za kuvuka mpaka wa Pakistan kuingia Afghanistan ili kukamilisha nia yake ya kumuua Osama ambaye inasemekana amejificha kwenye milima iliyopo kwenye mpaka wa Afghanistan na Pakistan. Alikamatwa akiwa na bastola moja, panga, jambia na vifaa vya kumwezesha kuona nyakati za usiku. Pia alikuwa na kitabu alichoandika mistari aliyoinukuu toka kwenye biblia. Faulkner ambaye amebatizwa jina la "American Ninja" na magazeti ya Marekani anasumbuliwa na matatizo ya figo na shinikizo la damu, alikuwa ...