KAMPENI ZA JK JIMBONI KWANGU


Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama tawala CCM Mh: Dk. Jakaya Kikwete akihutubia wananchi wa Handeni, katika moja ya Kampeni zake.


Hapa JK akimtambulisha mgombea Ubunge wa jimbo la Handeni Dk. Abdallah Kigoda.



Hapa JK akiongea na wananchi wa Wilaya mpya ya Kilindi.



Akitoa salam kwa wananchi wa Kilindi waliohudhuria mkutano huo wa kampeni.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Matukio ya Harusi ya Kijana wetu Mr Seif J.Bakari aliyemuoa Bi Amina Moses.

JAMAA ANAMSAKA OSAMA BIN LADEN