ABRAHAM NA DESTA WAAMUWA KUWA KITU KIMOJA.


ABRAHAM NA DESTA WAAMUWA KUWA KITU KIMOJA.


MAHARUSI BAADA YA KUWASILI UKUMBINI


UKUMBI ULIKUWA UMEPENDEZA KWELIKWELI.


CHAKULA KILIKUWA CHA KUTOSHA TUKIONGOZWA NA BWANA NA BIBI HARUSI.

FIRST LADY MAMA SALMA KIKWETE AKIFUATIWA NA MAMA LOWASA PAMOJA NA MAMA SUMAYE WAKATI WA KUCHUKUA MSOSI.


BWANA HARUSI WA KWANZA KUSHOTO, OTHMAN NA NICHOLAUS


LYUBA, BWANA HARUSI, OTHMAN NA NICHOLAUS

WADAU BAADA YA HARUSI WAKIONGOZWA NA MR JABIRI MBELE.

MAANDALIZI PAMOJA NA MAZOEZI YOTE YA JIVING NJE YA NCHI LAKINI NASIKITIKA SANA KWAMBA SIKUFANIKIWA KWA KIWANGO NILICHOTAKA MIMI KATIKA KUCHEZA INANIBIDI NIRUDI SHULE YA DANCING.



MASUE ALIKUJA KUNIPOKEA WAKATI NATOKA MAFICHONI KWENYE KOZI YA DANCING KWA AJILI YA MAANDALIZI YA HARUSI LAKINI NEH KUSHNEI NILIAMBULIA KUKANYAGA WATU TU, ILA NIMEAHIDI KUJIFUNZA ZAIDI, NIMEMFUKUZA KOCHA WANGU WA MWANZO NICHOLAUS SASA HIVI NINA KOCHA MPYA ANAITWA JABIRI.

Comments

Popular posts from this blog

Matukio ya Harusi ya Kijana wetu Mr Seif J.Bakari aliyemuoa Bi Amina Moses.

JAMAA ANAMSAKA OSAMA BIN LADEN