Posts

Showing posts from September, 2010

KAMPENI ZA JK JIMBONI KWANGU

Image
Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama tawala CCM Mh: Dk. Jakaya Kikwete akihutubia wananchi wa Handeni, katika moja ya Kampeni zake. Hapa JK akimtambulisha mgombea Ubunge wa jimbo la Handeni Dk. Abdallah Kigoda. Hapa JK akiongea na wananchi wa Wilaya mpya ya Kilindi. Akitoa salam kwa wananchi wa Kilindi waliohudhuria mkutano huo wa kampeni.