Miss Dar Intercollege 2010
![Image](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEje2Uv-_kujmzYA0JrVR9gmhf9bVUZ2JXEH7EXFZCZJCUNy9jFqKi37VelswUL24MTESqe8FODSqW6wxIHHMJX86hfclqXptcT33l0R_FmGsi7MdK_VkpOX7aHGb-5s77KfWcI0rgsEASk8/s400/miss.jpg)
Mshindi wa Miss Dar Intercollege ,Rose John kutoka chuo cha Ustawi wa Jamii (kati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili,Cassiana Milinga kutoka chuo cha biashara CBE (kulia) na mshindi wa tatu Marylidya Boneface nae kutoka chuo cha Ustawi wa Jamii. Viwango hivyo ni kwa mujibu wa kamati ya Miss Tanzania. Ila Kamati maalum ya viwango vya asilimia tata 10 = 10, % 2 - 10, ilituma muwakilishi wake kwenye mashindano haya kwa hiyo atatupa taarifa zaidi na tutawajuza kama kutakuwa na tofauti ya viwango lakini ikiwa kimya kila kitu kita kuwa kimeenda kama kilivyokusudiwa. VICTOR a.k.a DJ SOCP DIZZO (Mwenye shati nyeupe na kitambulisho) Ndio alikuwa muwakilishi wa Lukoya.blogspot.com namuamini sana kwa viwango ndio maana nikamuomba aniwakilishe kwa Bra Hashim.